Mwandishi wa BBC Leonard Mubali amefanya mahojiano na makamu mwenyekiti wa Chadema taifa Tundu Lissu na kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo kushikiliwa kwa viongozi wao kinyume cha sheria, matukio ya utekaji pa moja na uchunguzi dhidi ya tukio la kuupigwa risasi miaka michache iliyopita
#bbcswahili #tanzania #siasa
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw