Leo tuko na mzee wa vibao vingi sana pendwa, vibao kama Latifa, Mapenzi Kitu Gani na vingine vingi - Mkongwe MB DOGG.Fuatilia mazungumzo haya uone alipotoka kimaisha na kimuziki.
#mbdogg #bongoproject #bongofleva
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
https://bongoproject.org/
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: https://www.instagram.com/bongo_project/
Facebook: https://www.facebook.com/Bongo-Project-102566415873260
TikTok: https://www.tiktok.com/@bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org