MENU

Fun & Interesting

Mbinu 8 za Kupata kuku bora wa Kufuga wa kienyeji

AGALUS TV 32,137 4 years ago
Video Not Working? Fix It Now

Kwa anaeanza ufugaji zingatia aya mambo 8 ili uweze pata mbegu bora katika safari yako ya ufugaji wa kuku wa asili/kienyeji 👉Kujifunza kuhusu uleaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji wenyewe bila mama yao, tembelea link ifuatayo👇 https://youtu.be/4xqTBAKBHs4 👉Jinsi ya kupata kuku wengi wa kienyeji kwa muda mfupi tembelea apa👇 https://youtu.be/SnlWEN3NgSA 👉Kuhusu Tiba asili za kuku https://youtu.be/3BpbwyWgSb0 👉Kujifunza vyakula 10 vyenye sumu kwa kuku wako tembelea 👇 https://youtu.be/hzsRQAAtlgU 👉Kuhusu Ugonjwa wa mafua ya kuku na jinsi ya kutibu tembelea apa👇 https://youtu.be/Ws90o1Y0H3o 👉Jinsi ya kuchoma chanjo ya ndui https://youtu.be/f_heD759ZWU Barikiwa sana kwa maswali yeyote usisite kutuandikia apo 👆 swali lako🙏🙏 👉Kwa video zingine kwenye channel yetu https://www.youtube.com/channel/UCAodIC3rcPHrbLMYkk9NVzw

Comment