MENU

Fun & Interesting

MCHIZI MOXIE - Kundi la Wateule Lilipendwa na Wasanii Wote | Tulikuwa Wanyamwezi Kweli - Part 2

Bongo Project 2,190 2 years ago
Video Not Working? Fix It Now

Mchizi Moxie katika sehemu ya hii ya pili ya mahojiano na Bongo Project amengumzia mengi ikiwemo kundi lao la Wateule, kufanya collabo na wasanii wengi wa Bongo kama vile K-Lyn, Mandojo na Domo Kaya, Mangwea na wengine wengi. Amezungumzia pia mchango wa mama yake, Master Jay na Mika Mwamba katika safari yake ya muziki. Kwa hayo na mengine mengi fuatilia sehemu hii ya pili. #mchizimoxie #bongoproject #wateule #bongofleva #mchizimox Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake. -------------------- WEBSITE -------------------- bongoproject.org -------------------- SOCIAL MEDIA -------------------- Instagram: https://www.instagram.com/bongo_project/ Facebook: https://www.facebook.com/Bongo-Project-102566415873260 -------------------- CONTACT -------------------- Email: [email protected]

Comment