MENU

Fun & Interesting

MFUNGWA ALIYEANDIKA VITABU 81 AKIWA GEREZANI, ALIHUKUMIWA MIAKA 30 JELA "MKE NA MTOTO WAMENIKANA"

Millard Ayo 228,547 4 years ago
Video Not Working? Fix It Now

Simulizi ya Majid Goa aliyehukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la ubakaji wakati huo akiwa na umri wa miaka 28 nyumbani kwao Rorya mkoa wa Tarime, amekaa magereza matano Tanzania na wakati akiwa gerezani alifanikiwa kuandika vitabu 81 vya maisha yake na vingine, Hatimaye march 2021 ameachiwa huru kwa msamaha wa Rais akiwa ametumikia miaka 16 jela ametoka akiwa na miaka 44 na kukuta mke wake anaishi na mwanaume mwingine

Comment