Mfungwa Huyu Aliwezaje Kutoroka Gereza Linalolindwa Zaidi MAREKANI? Visa na Mipango Yake Ni Balaa!
#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe #Marekani
Hii hapa ni stori ya kipekee ya mfungwa ambaye alifanikisha mchongo wa kutumia akili nyingi wa kutoroka gereza lenye ulinzi mkubwa zaidi nchini Marekani. Stori na visa katika makala haya vitakuacha mdomo wazi.
_________________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: https://rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: https://rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: https://rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: [email protected]