Mafisa wa DCI wameanzisha uchunguzi kutegua kitendawili cha mgonjwa aliyeuawa akipokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya kenyatta. Mgonjwa huyo alipatikana amekatwa shingo usiku wa kuamkia leo kwenye wodi.