MIAKA 22 TOKA ALIPOAMBUKIZWA VIRUSI VYA UKIMWI NA MWANAUME WALIEKUTANA KWENYE TRENI, ASIMULIA YOTE
Ni simulizi ya Rose Limu mzaliwa Singida anayeishi Arusha ambaye aliambukizwa virusi vya UKIMWI mwaka 1999 baada ya kukutana na Mwanaume kwenye treni na kukutana nae kimwili, kwenye Interview hii amesimulia mengi ikiwemo jinsi Mama Salma Kikwete alivyomsaidia.