Mkuu wa Kitengo cha Biashara- Fortunata Olomi akieleza aina ya mikopo mbalimbali itolewayo na Benki ya Biashara Mkombozi.
Kupata huduma ya mkopo, wasiliana nasi bure kupitia 0800 750 040 au tembelea tawi letu lililo karibu nawe.
#mkombozibank #abankwithintegrity
#mkomboziloans