AyoTV na millardayo.com imefunga safari mpaka Kasulu Kigoma na kukutana na Mzee Mkongwe wa kabila la Waha na kufahamu misemo au methali ambazo amekua akizitengeneza mzee huyu, aliamua kufanya hivi ili kuweka kumbukumbu za kabila lao.