MKE ANAYEISHI NA MUME MWENYE VVU KWA MIAKA 15, ASIMULIA MAISHA YAO
Wakati Tanzania ikiungana na Nchi nyingine Duniani katika kuadhimisha siku ya Ukimwi, Mkoa wa Mbeya umeadhimisha siku hiyo kimkoa katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mbalizi na kuhudhuriwa na Taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali.
Katika maadhimishi hayo Wasafi Media imepata wasaa wakuzungumza na familia ya baba anayeishi na maambukozi ya virusi Vya Ukimwi na mama asiye na maambukizi hayo, ambao wamesimulia namna wanavyoishi wakiwa na furaha licha ya afya zao kua tofauti.
Wakisimulia wanandoa hao wamesema baada ya mmoja wao kugundulika kua na maambukizi ya virusi Vya Ukimwi walikubaliana na hali hiyo, na baadae kuendeleza maisha na Sasa wanaishi wakiwa na furaha na ushirikiano katika kukumbushana juu ya matumizi ya Dawa zakufubaza virisi Vya Ukimwi.
WATCH WASAFI TVπΊ
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM π»
88.9 DAR/ZNZ/PWANI π» | 104.1 DODOMA π» | 94.5 ARUSHA π» | 97.3 MBEYA π» | 94.9 MWANZA π» | SHINYANGA 106.3 π» | KIGOMA 101.7 π»
Follow Us On:
INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/
TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/
FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/
πͺππππππππ Β©2021 πΎπππππ π΄ππ
ππ. π¨ππ ππππππ ππππππππ
.
#wasafi #wasafitv #wasafifm