MENU

Fun & Interesting

MREMBO AMESOMA MASTERS MAREKANI ILA ANAUZA MAKANDE MWANZA

Millard Ayo 600,326 6 years ago
Video Not Working? Fix It Now

Nancy Lema ni msomi wa elimu ya Masters aliyoipata nchini Marekani ambapo mwaka 2015 aliamua kurudi nyumbani Tanzania na kutafuta Kazi kwenye Makampuni mbalimbali bila mafanikio ndipo akaamua kuingia mtaani kupika na kuuza Makande kwenye Ofisi mbalimbali za Mwanza.

Comment