'Nilihisi mume wangu hanipendi,na wakati huo yule aliyeonesha kuwa ananithamini japo kwa siri alikuwa ni kaka yake mume wangu ambaye pia alikuwa ameachwa na mkewe'
Simulizi ya bi Stella Mutahi, Mwanamke aliyeolewa na ndugu wawili wa familia moja.
#WaridiwaBBC
#Ndoa
#Wanawake