MENU

Fun & Interesting

Mzee Warioba: JWTZ Ni Taasisi Pekee Iliyobaki Yenye Uadilifu, Wasiingizwe Kwenye Siasa.

The Chanzo 18,829 3 months ago
Video Not Working? Fix It Now

Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Peacock Dar es Salaam leo Disemba 04,2024, Mzee Joseph Warioba amelitaka taifa kuepuka kuingiza Jeshi la Tanzania kwenye siasa. "Jeshi la Ulinzi (JWTZ) ndio taasisi pekee yake iliyobaki kwa uadilifu, kwa uzalendo, kwa nidhamu. Tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ningeomba kabisa Jeshi la Ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, sio kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi," ameeleza Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Disemba 04,2024. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: https://twitter.com/TheChanzo INSTAGRAM: https://instagram.com/thechanzo FACEBOOK: https://www.facebook.com/theChanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Comment