Namna ya kuwapa hamasa na muamko wafanyakazi | Huu siyo utoto | Sijawahi kufanya hivi
Msaikolojia Justus August anavyojitofautisha kupitia mbinu zake za kufundisha na kuwafanya Viongozi na wafanyakazi wa restaurant ya Kukurico kujiona wa pekee! Washiriki wa mafunzo hayo wamesimulia upekee