UZINDIZI WA @chekaplustv CH 414: Huyu hapa @ndaro__ aliyeamua kuondoka na mbavu za watu usiku kwenye uzinduzi wa chaneli mpya ya Cheka Plus TV inayopatikana kwenye #AzamTV pekee kwa kifurushi cha shilingi 17,000/= tu mwezi au 6,000/= kwa wiki.
Uzinduzi ulikuwa LIVE muda mfupi uliopita kupitia #UTV108 @utvtz
#ChekaTu #ChekaTu414 #ChekaTuPlus