NILIANZA NA KUKU 50 WA KIENYEJI SASA NINAUZA VIFARANGA 2500 KILA WIKI
NILIANZA NA KUKU WA KIENYEJI 50 SASA NINAUZA VIFARANGA 2500 KILA WIKI
Ufugaji wa kuku wa kienyeji unamafanikio makubwa kama utaamua kufuga Kuku wa kienyeji kibiashara.
wapo waliokata tamaa kwasababu ya changamoto za magonjwa ambazo husababiswa na kutokuwa na elimu ya ufugaji bora wa kuku wa kienyeji.
Pia wapo waliopambana na changamoto hizo na leo wamekua Wafugaji wakubwa na wenye mafanikio.
mfugaji huyu alianza na kuku wa kienyeji 50 na sasa anazslisha vifaranga 2500 kila wiki.
Fatilia safari yake yenye changamoto na mafanikio
PLAYLIST
Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji
https://bit.ly/2JlD0sl
Ufugaji wa Kuku Chotara
https://bit.ly/39r7FPD
Magonjwa Tishio ya Kuku
https://bit.ly/39oRfr1
Ujenzi wa Banda Bora
https://bit.ly/3bxQJs2
Uleaji Bora wa Vifaranga
https://bit.ly/2JjPH73
SOCIAL MEDIA
YouTube; https://bit.ly/2vU8SBg
Facebook; https://bit.ly/39ogwlb
Instagram; https://bit.ly/3dA25xF
Twitter; https://bit.ly/2UIh3Jh
What's app; 255 (0)752209073
For Business Purposes
Email; changamkiafursa@gmail.com