Akiwa na umri wa miaka 18 tu, Rose Yona Malle alikutana na mtihani mkubwa katika maisha yake baada ya kukamatwa mwaka 2012 na miaka kadhaa baadaye kuhukumiwa kunyongwa.
Rose Malle, 29, kwa sasa ni mkurugenzi mkuu wa taasisi ya @tanzaniaexprisonersfoundation ambayo inasaidia bure wafungwa kisaikolojia baada ya kumaliza vifungo vyao.
Je kosa la Rose lilikuwa nini mpaka kuhukumiwa kifo?, na alitokaje gerezani?
Tazama
#bbcswahili #waridiwabbc #tanzania
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw