Baadhi hawaaminiki, wengine hawaaminiani! Ni rahisi kwa mme kuondoka kwenda kupambana na kumuachia mke majukumu ya kutunza na kulea familia!
Wanaume wachache wanao utayari wa kuwaruhusu wake zao waendw kufanya kazi mbali na wao kukubali kubaki na watoto!