mayai Bora minayai yalika KAA sehemu salama,
mayai ni zao lapekee katika kuku,
pia mayai usipo yapanga viziri mayai hayo yanaweza kuharibika,
mayai yana taratibu zake za upangaji,
mayai ya kuwekwa kwenye INCUBATES yatakiwa yawe salama sana na yasizidi siku7,
kama mayai yapo kwenye msimu wa joto yasizidi siku5,