NYOKA AZUA TAHARUKI KWENYE MAKAZI YA WATU, ANADAIWA KUWEPO ZAIDI YA MIAKA 40
Taharuki iliyoibuka na kujenga hofu kwa wakazi wa eneo la Mliman City mtaa wa Kizigo kata ya Ng’ambo baada ya kusikika sauti ya Nyoka aina ya Koboko anayekisiwa kuwa na urefu wa zaidi ya futi 10 akipiga kelele juu ya mti wa mwembe katika eneo la makazi ya watu