MENU

Fun & Interesting

Part : 02 ( Mwisho ) - GOOD BYE MY WIFE | by Mr Elnai

Mr Elnai Simulizi 1,143 lượt xem 1 month ago
Video Not Working? Fix It Now

Hakuna furaha kubwa utakayoipata na kuifurahia hasa kwenye MAHUSIANO YAKO kama kuridhika na yule ambae amekuja kwako kwa sababu ya WEWE na si kwa sababu ya KITU au VITU GANI ULIVYONAVYO.

Hapa tunapata kuuona MWISHO Mbaya wa TAMAA, licha ya kwamba MWANZO alihisi na kuona kwamba kwa MUMEWE hana FURAHA, UHURU NA AMANI...!! Ndipo alipotamani ya NJE................... Lakini hakuna alichokipata zaidi ya MARADHI NA KIFO.

Comment