MENU

Fun & Interesting

PART 1: RUBANI MSTAAFU GALWAY ASIMULIA MKASA WA 1988, NDEGE YA TANZANIA ILIVYOTEKWA WAKIWA ANGANI..

Global TV Online 59,453 lượt xem 3 years ago
Video Not Working? Fix It Now

PART 1: RUBANI MSTAAFU GALWAY ASIMULIA MKASA WA 1988, NDEGE YA TANZANIA ILIVYOTEKWA WAKIWA ANGANI..

Hii ni stoti ya kusisimu ya Rubani Mstaafu Galway Galway Aelizaliwa 1950 huko Vijijini Kabisa Mkoani Manyara Kipindi hicho uliitwa mkoa wa Arusha akiwa Mtoto kutoka katika familia ya kifugaji alienda peku shuleni bila viatu lengo lake likiwa kuwa Rubani tu wakati watoto wengi wao walikataa shule na kulilia kwenda Kuchunga Ng'ombe na Mbuzi.

Alitolewa Jeshini na Mwalimu Nyerere miaka ya 70 na Kupewa Usukani wa Ndege baada ya marubani Wengine kugomea Mishahara kwa kudai ni Midogo.karibu kwenye the Unique story utafaamu jinsi ndege aliyokuwa akiiendesha ilivyotekwa 1988 na vijana wa Kitanzania akiwa Angani.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Comment