Hii ndiyo List ya Ngoma 5 alizochagua Fid Q kwenye THE PLAYLIST 100.5 Times FM March 04, 2017
5. Raha tu rmx - AY ft Complex
4. Asanteni kwa Kuja - Mwana FA
3. Salio la verse - Juma Nature
2. Zamu Yangu - Shaa ft Fid Q
1. Mabundi - Big Jah Man ft Fid Q
THE PLAYLIST ni Show kali ya weekend inayowashusha mastaa kibao ndani ya Studio za 100.5 Times FM kuchagua ngoma 5 kali wanazozikubali na kupiga mastori kibao kuhusu Music, Fashion & LifeStyle, Gadgets & all that.
Show inaruka kwa hewa kila Jumamosi, Saa 6 - 8 Mchana kupitia frequency ya 100.5 Times FM chini ya Presenter Mkali, the Baddest boi, Omary Tambwe aka Lil Ommy.
Subscribe, Watch, Share.
Niguse kwenye social networks:
http://www.instagram.com/lilommy
http://www.twitter.com/LilOmmy
http://www.lilommy.com for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc.