ufugaji wa kuku chotara unafaida kubwa ukilinganisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji, hii inatikana na uwezo wa hawa kuku chotara wa kukua kwa haraka na kutaga mayai mengi kwa mwezi ambayo kufikia mayai 20-22.
kupitia uwezo huo wa kutaga mayai mengi, Leo nakuletea mchanganuo wa jinsi ya kutengeneza faida ya 700, 000 kila mwezi kwa ufugaji wa kuku chotara 275 ambapo majike ni 250 na majogoo 25.
kuku hawa chotara nitakao wazungumzia Leo ni kuroiler.