Maisha yangu ningempa mwingine sidhani kwama angeyaweza, mahusiano yangu ningempa mwingine nadhani jioni tu angeyavunja akataka kubaki single. Msikilizaji haya ndio maisha yangu, matukio ya kweli yaliyotokea kwenye maisha yangu.
SIMULIZI TAMU.
SIMULIZI YA KWELI
SIMULIZI FUPI