wasiopendana wanalazimishwa kuingia ktk ndoa na familia zao, Mwanzo wa safari ya mapenzi inakua ni vurugu, vituko , patashika nguo kuchanika.... Ila mwishoni sasa utashangaa kilichotokea. Sikiliza hii