Aliwahi kuwa Mbunge wa Muleba Kusini, Mkoani Kagera nafasi aliyoipa kisogo Mwaka 2020, Aliwahi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, na Kwa Sasa ana Degree za Heshima 12.
Hayo niliyokuonjesha kidogo ni Katika mengi ambayo ni mapito ya Profesa Anna Kajumlo Tibaijuka, najua unashauku ya kujua mengi kumhusu yeye.
Kwenye kwenye #PBCloudsFM kutokea Nyumbani kwake Mikocheni , Jijini Dar es salaam tutakuwa naye Profesa Anna Kajumlo Tibaijuka