Wengi huamini rushwa hufanyika sehemu zenye huduma muhimu za kijamii ambazo humfanya mtu apate huduma haraka. Lakini nina imani watu walikuwa hawajui kuna rushwa nyingine inayopelekea mtu kufa au kuteseka kutokana wachawi waliomroga humpa mganga wakijua ana uwezo wa kumponesha mtu wao.