Rais William Ruto ameapa kuwa serikali itakabiliana vilivyo na walanguzi wa dawa za kulevya katika kaunti za Isiolo na Marsabit. Akihutubia wananchi huko Isiolo wakati wa siku ya mwisho ya ziara yake ya Kaskazini mwa Kenya, Rais alionya kuwa wale wanaoharibu maisha ya Wakenya hawana nafasi katika jamii. Rais aliagiza mashirika ya usalama kuziba mianya yote inayotumiwa na walanguzi hao kuingiza mihadarati humu nchini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive