Safari yangu kuja Marekani na hadi kuwa raia wa Marekani haikuwa rahisi. Kujua njia sahihi na kuzifuata ni muhimu sana ili kuweza kufanikisha ndoto zako. Hii ni moja ya sehemu kujua safari yangu ya ughaibuni #ebmscholars #ebmswahili #ebm