Ndoa nyingi zinaingia katika migogoro na hatimae kuvunjika kwa sababu ya wanaume wengi hawawafahamu wake zao.