MENU

Fun & Interesting

SIMULIZI FUPI: BEST FRIEND 1/3 By Ankojay

Ankojay Simulizi 56,512 lượt xem 1 year ago
Video Not Working? Fix It Now

Kwa jina naitwa Cameron, ni mzawa wa kigoma kasulu lkn wazazi wangu walikua wanaishi dar kutokana na shughuli zao za utafutaji wa maisha.kwetu tulizaliwa wawili tu mm na kakangu camilo,wazazi wetu walikua wana hali ya kawaida kabisa ya maisha.

Comment