Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Mzee Mtalikidonga ambaye kwa sasa ni mfungwa huru tangu tarehe 9 desemba mwaka huu kwa Msamaha wa Rais Magufuli,amefunguka mazito huku akisema anauchungu mkubwa kwani hana mke wala mtoto au ndugu yeyote kutokana na kusingiziwa kesi ya mauwaji na kudhulumiwa Maisha na nguvu zake zote kuishia Gerezani.
Aliongeza na kusema kuwa wakati anakamatwa alikuwa na umri wa miaka 14, wakati huo ilikuwa mwaka 1974 na ilipofika mwaka 1978 akahukumiwa kunyongwaakiwa na umri wa miaka 16 ingawa mahakamani walimtaja kama ana umri wa miaka 18.
Jambo lililomfanya kuharibu ndoto zake na mipango yake yote ya maisha,fuatilia video hii uona kwa kina anachoeleza
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..