Huu ni mkasa wa baharia wa kitanzania aliyezamia meli katika taifa la Afrika kusini, na kuelekea katika ,mataifa ya ulaya, haikuwa kazi rahisi, ni safari ndefu iliyojumlisha maumivu, na makovu yasiyosahaulika.
karibu katika kisa hiki, utazame mahojiano haya na baharia TONGORANGA katika kipindi hiki cha MBANGA
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#mbanga #dupamdupange #baharia