MENU

Fun & Interesting

Star Wetu:Shija ana VVU lakini kaoa mwanamke ambae hana VVU wamepata watoto ambao hawana VVU

Pausetv 5,352 5 years ago
Video Not Working? Fix It Now

Shija Mashimba mkazi wa jijini Mwanza ameishi na maambukizi ya VVU kwa zaidi ya miaka 15,mkewe wa kwanza alifariki na VVU akapata mwanamke mwingine ambae hana VVU na kumuoa na hivi sasa anaishi kwa furaha wakiwa na watoto wanne wasiokua na maambukizi.

Comment