Tibu(Zibiti) mafua makali kwa dawa ya alovera na pilipili ya unga kwa njia asilia.
#mifugoonline #MAFUAMAKALI #Subscribe
Unaweza kutibu mafua kwa njia yenye gharama nafuu kabisa pia yenye uwakika bila kutengeneza madhara yoyote kwa kuku kwa kutumia njia asilia ya ALOVERA NA PILIPILI YA UNGA