MENU

Fun & Interesting

Ubongo Kids Webisode 30 - Rafiki wa Macho - Mwanga

Ubongo Kids Kiswahili 4,126,051 9 years ago
Video Not Working? Fix It Now

Angalia webisode za msimu wa pili wa Ubongo Kids hapa hapa! Ubongo Kids Webisode 30 - "Rafiki wa Macho" - the Tanzanian animated cartoon series as seen on TBC1! Jifunza kuhusu viungo vya mwili kupitia episode hii ya Ubongo Kids, Africa's clever new cartoon! Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: http://www.ubongokids.com Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1. http://ubongokids.com http://youtube.com/ubongokids http://facebook.com/ubongokids http://twitter.com/ubongotz An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.

Comment