MENU

Fun & Interesting

Ubongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo Kids

Ubongo Kids Kiswahili 3,522,279 7 years ago
Video Not Working? Fix It Now

Angalia webisode za msimu wa tatu wa Ubongo Kids hapa hapa! Ubongo Kids Webisode 39 - "Kuhesabu kwa Kuruka" - the Tanzanian animated cartoon series as seen on TBC1! Jifunza hisabati ya kujumlisha kwa kubeba kupitia episode hii ya Ubongo Kids, Africa's clever new cartoon! Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: http://www.ubongokids.com Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1. http://ubongokids.com http://youtube.com/ubongokids http://facebook.com/ubongokids http://twitter.com/ubongotz An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.

Comment