UDUGU ULIYOUNDWA NA ALLAH MBINGUNI. MUHADHARA LAMU KENYA, SHEIKH KISHKI
Muhadhara uliotolewa na Sheikh Nurdeen Kishkii , Masjid Jaamia Lamu Mashariki Nchini Kenya Tarehe 01/06/2023, Mada ikielezea udugu uliyoundwa na Allah Mbinguni, Ni udugu gani huo? InshaAllah fatilia hadi mwisho upate kuelimika, tunaomba usambaze ujumbe huu na Allah atawalipeni