Ndugu, Jamaa na marafiki Natumaini mnaendelea vizuli na Ufugaji wa kuku wa Aina mbali mbali kama Broiler, Chotala, Layers ect
Umuhimu wa USAFI wa banda lank itakusaidia kuku wako wasipatwe na magonjwa kamwe yani siku zote hasa magonjwa yaxvimelea na bakteria kupitia kula kinyei Chao au vyakula vilivyo vunda.
Hakikisha siku zote banda lako, VIFAA VYA maji na chakula ni visafi ili kuku wakue vyema na wawe na Afya njema na kuletq Tija kwa mfugaji kwa ujumla..
Usisite ku subscribe, Bonyeza batani ya kengele kisha view vidio kadli uwezavyo utapata kujifunza mambo mengi kila siku.
Ubalikiwe kwa kusoma makala hii 🙏.