MENU

Fun & Interesting

Rajabu Mmeo Ramsey

Rajabu Mmeo Ramsey

RAJABU RAYMOND MMEO ndilo jina langu halisi
RAMSEY nimuungano wa *Ra*jabu *M*meo RA*Y*MOND
Nimeokoka namkubali Yesu kua mwokozi wangu

#mtumishi Kanisani
#video/photographer
#actor ,producer, #Filmdirector
Nakukaribisha kwenye channel yangu kuzitazami kazi zangu kwanza SUBSCRIBE kama bado.
Kwenye channel hii Yapo matukio mbali mbali na yenye mazingira tofauti tofauti.

kwenye channel hii
Zipo nyimbo za ibada zakanisa
Zipo movies,series
Zipo parties(sherehe)
Yapo matukio ya uzazi
Yapo matukio kuoa/wesha
Yamo matukio ya michezo[soccer]
Nenda Playlist Utazame list za video uzipendazo

Unakaribishwa kufanyiwa huduma filming :tuna shuti...:
Movie or serie
music videos
Birthday,Bridal showers,Baby showers,Weddings,MAKONDA,promotions,
documentaries....

Wasiliana nasi
Kupitia mitandao yetu yakijamii
Kwajina "Rajabu Mmeo Ramsey "
Tutakufanyia kazi hiyo tena kwa bei nafuu
Whatsp n°: ipo kwenye cover

tunaenda popote hapa USA na Nje ya state
Karibuni sana
Mungu akubariki!!