MENU

Fun & Interesting

BUNDUKI TV

BUNDUKI TV

ASANTE KWA KUICHAGUA BUNDUKI TV

Sehemu pekee ambayo utapata elimu kupitia simu yako ya kijanjani / cpmputer.

Bunduki tv tunatoa elimu katika nyanja zifuatazo.

1. UTALII
Tunakupeleka sehemu mbali mbali za utalii nje na ndani ya nchi. Tujifunze kwa pamoja tamaduni, mila, mandhari, maeneo ya kihistoria na tabia nchi.

KIPINDI KINAITWA
TOURS & SAFARI

2. DINI
Tunakuelekeza njia sahihi ya kukupeleka kwa Muumba. Hapa tutakuletea mawaidha, darsa na masomo yote ya dini (ISLAMIC)

3. AFYA
Ufahamu mwili, tiba asili, magonjwa na uboreshaji wa afya yako kupitia nukta hii.

Kipindi kinaitwa
AFYA YAKO

4. SIMULIZI ZA KWELI
Hapa tunakukutanisha na wanadamu ambao wamepitia magumu zaidi katika maisha yao yaliyopita.

Kipindi kinaitwa
MAISHA SAFARI

5. BURUDANI
Baada ya kazi nzito tunaburudika, tunafurahi kwa habari mbali mbali zilizojiri nje na ndani ya Tanzania.

Ili usipitwe
Bonyeza - Subscribe kisha bonyeza alama ya kengele

ASANTE🙏