Mambo vipi? Mimi Ni Dullekid ,Channel Yetu ya Movie kwa kiswahili imeshushwa na YouTube,Naomba mnisupport kwenye hii channel yangu Mpya Kwani Bila ninyi Sitoboi.
Movies Ni Maisha,Na Maisha Ni Movies.
Karibu Kutazama Simulizi Ya Movies Mbalimbali,Kutokea Sehemu Mbalimbali Duniani!!Nikukumbushe ku-subscribe,Like,share na Comment.