Leo tunauanza ushuhuda mpya wa aliyekuwa mganga na mchawi wa Kasulu Kigoma,ataelezea mapito yake yote na jinsi alivyookoka.Fatilia ushuhuda huu hadi mwisho hakika utajifunza mengi