Ni simulizi ya kweli ya kijana Muta Kalumuna wa Bukoba,aliyefanywa kuwa msukule na nabii wa uongo lengo likiwa ni kuvuta waumini kanisani kwake.Pia kijana huyu alipandikizwa nyoka pamoja na mapembe mwilini mwake ambavyo vinamsumbua hadi sasa.Anahitaji msaada wa kimwili na kiroho,mawasiliano yake ni 0753279917 AU 0686325651
#ushuhuda #jacktanmsafiri #promovertv