MENU

Fun & Interesting

UTATA KUPOTEA VIJANA 5! POLISI - “TUNASHIRIKIANA NA WAZAZI” FAMILIA YADAI HAWAPEWI USHIRIKIANO!

Global TV Online 5,649 3 years ago
Video Not Working? Fix It Now

UTATA KUPOTEA VIJANA 5! POLISI - “TUNASHIRIKIANA NA WAZAZI” FAMILIA YADAI HAWAPEWI USHIRIKIANO! Leo Jumanne, February 15, 2022 ikiwa ni siku ya 52 tangu vijana watano watoweke katika mazingira ya kutatanisha, kamanda wa kanda maalum ya dare s salaam Jumanne Muliro ametoa tamko kuhusiana na sakata hilo. Akijibu swali la wanahabari waliotaka kujua hatua waliyofikia katika upelelezi wao wa kuwatafuta vijana hao February 15, 2022, alisema kuwa bado hawajawapata na kwamba juhudi za kuwatafuta zinaendelea kwa kushirikiana na wazazi pamoja na ndugu wa vijana hao. WAKATI kamanda akisema hayo, wazazi na ndugu wa vijana hao wanalilalamikia jeshi hilo kuwa haliwapi ushirikiano wa kutosha wa kuwatafuta na wanalazimika kufanya upelelezi wao nje ya jeshi hilo UTATA KUPOTEA VIJANA 5! POLISI - “TUNASHIRIKIANA NA WAZAZI” FAMILIA YADAI HAWAPEWI USHIRIKIANO! ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Comment