Ondieki aeda kufanyiwa 'massage' alafu Fataki ambaye ni bibi yake anamfuata kwa kinyozi. Fataki na Makokha ambaye ni kijana wa nyumbani wanamvamia mwanamke ambaye alikiua anakanda Ondieki 'massage'.