MZIZIMA DERBY | Wasikilize Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, @ahmedally_ na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Azam FC, Zakaria Thabit ‘Zaka za Kazi’wakizungumzia maandalizi yao vikosi vyao kuelekea #MzizimaDerby kwenye #NBCPremierLeague leo.
✍️ @jairomtitu3
#NBCPLUpdate #SimbaSC #AzamFC #MzizimaDerby