Ni Tamthilia inayozungumzia kijana anaetaka Kuoa kwa sababu Mke wake wa kwanza ana mimba hivyo anaona hawezi kuhudumiwa na mke wake vizuri na kuamua kuoa mwanamke mwengine Nakuanza kumfanyia visanga mke wake wa kwanza Fatilia kisa hiki Cha kusisimua......